Tunzaa app for iPhone and iPad
Developer: Ngwinula Kingamkono
First release : 02 Aug 2021
App size: 18.03 Mb
Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.
BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.
Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.
FUATILIA MALIPO YAKO
Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.
JIPIMIE
Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.
TAFUTA
Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.
UJUMBE
Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.
MALENGO
Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.
MATUMIZI
Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.
ZAWADI
Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.